Huu ni mwendelezo wa stori ya maisha ya Mbugo.Alipofika south africa alifikia hotel moja maarufu mjini cape town alikaa kwa muda wa siku mbili akiplan nini chakufanya na hiyo pesa ilikuwa jumapili muda wa usiku wakati anapata chakula cha usiku alivamiwa na watu wasiojulikana na kubeba pesa yote akabaki hana kitu,kesho yake asubuhi Mbugo alienda kuomba kazi kwa mzungu mmoja hapo mjini cape town alipata kazi ya kulisha mifugo ya mzungu huyo alifanya kazi kwa miezi miwili akamuibia mzungu huyu land 3000,land ni pesa inayotumika south africa na kurudi chini tanzania alipofika tu airport alikamatwa na kupelekwa magereza ya kisutu ,Baada ya kukaa gerezani kwa wiki mbili mbugo alifanikiwa kutoroka na kutimkia malawi unafikiri nn kiliendelea baada ya kufika malawi endelea kufuatilia page siku inayofuata
Saturday, September 3, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment