Thursday, September 1, 2016

MAISHA NI SAFARI

Maisha ni safari ndefu,fuatilia stori hii fupi...,Mbugo ni kijana aliyezaliwa mkoani mbeya katika wilaya ya chunya ,alipofikisha umri wa miaka nane wazazi wake walifariki kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya mbalizi ,wazazi wa Mbugo walikuwa ni wenyeji wa Malawi hivyo hakubahatika kuwa na ndugu mwingine tena,maisha ya mbugo yaliingia mtegoni kwani alikuwa ni mtu wa kufanya vibarua ili aweze kupata pesa ya kujikimu na maisha alipofikisha miaka kumi na tano Mbugo alipata kazi ya kuwa house boy jijini dar,alifanya kazi hiyo kwa miaka mitano na kurudi jijini mbeya, ambako alijushughulisha na usafi katika gest house jijini mbeya ,siku ambayo mbugo anaikumbuka ilikuwa ni jumapili ambapo alifanya usafi chumba na 40 nakufanikiwa kuokota dola 35000 za kimarekani baada ya wazungu waliofikia gest hiyo kuzisahau ,mbugo alitokomea na pesa hizo na hatimaye kutimkia south afrika je nn kiliendelea baada ya kufika south fuatilia stori siku inayofuata..

0 comments:

Post a Comment

 

Subscribe to our Newsletter

Contact our Support

Email us: samwelnkulikwa1985@gmail.com

Our Team Memebers